Viongozi wamvaa Hapi, kulala makaburini chanzo

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi

Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi kumtaka Katibu wa BAVICHA Kinondoni, Hilda Newton kujisalimishakatika kituo cha polisi Iringa siku ya leo, kwa kusambaza taarifa zenye ujumbe wa kwamba huko Iringa 'Ali Happi amelazwa makaburini, viongozi wamekimkingia kifua kuwa hatajisalimsha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS