Fid Q aonesha gari lake, kujibu waliomponda hana Rapa mkongwe kwenye 'game' ya Hip hop ya Bongo, Fid Q , ameamua kuwajibu kivitendo watu waliomponda kuwa hana mafanikio yoyote kwenye muziki, kitu ambacho amedai kilimuumiza. Read more about Fid Q aonesha gari lake, kujibu waliomponda hana