Mchina akamatwa na Madini ya Tanzanite
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi wa Polisi, Hamis Issa amethibitisha kukamatwa kwa madini ghafi mbalimbali ikiwemo madini yanayopatikana Tanzania pekee aina ya Tanzanite ambayo yalikuwa yamebebwa na raia wa kigeni mwenye asili ya China kwa ajili ya kusafirishwa

