Dereva aliyekuwa akichati, adondosha wanafunzi 30 Basi la shule lililoanguka Jumla ya wanafunzi 30 wa shule ya msingi binafsi ya Little Treasure, iliyoko Manispaa ya Shinyanga, wamenusurika kifo baada ya kupata ajali wakirejea nyumbani kuto shule. Read more about Dereva aliyekuwa akichati, adondosha wanafunzi 30