Manara aahidi kujirusha kwa mashabiki

Mashabiki wa Simba

Afisa Habari wa Simba, Haji Manara ametoa ahadi kubwa kwa mashabiki wa klabu hiyo watakaojitokeza katika Uwanja wa Taifa leo itakapopambana na JS Saoura ya Algeria katika mchezo wa Klabu Bingwa Barani Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS