TMA yatahadharisha mafuriko kwa siku tano Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa mvua kubwa zitakazosababisha mafuriko katika baadhi ya mikoa nchini kwa muda wa siku tano. Read more about TMA yatahadharisha mafuriko kwa siku tano