Cheka na Dullah Mbabe watishiana ndani ya studio

Francis Cheka (kushoto) na Dullah Mbabe (kulia)

Mabondia Francis Cheka na Abdallah Pazi maarufu 'Dullah Mbabe' wameendelea kutishiana ubabe kuelekea pambano lao kubwa litakalofanyika siku ya kufungua zawadi 'Boxing Day'.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS