Zitto Kabwe ataka taarifa za ugonjwa wa Mbowe
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amekitaka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoa taarifa juu ya hali ya afya ya Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe ambaye ameshindwa kuwasili Mahakamani leo kwa sababu ni mgonjwa.

