Zahera aipelekea maumivu Simba Mwinyi Zahera (kushoto) na wachezaji wa Simba (kulia) Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema hawezi kuumizwa na timu yake kutolewa kwenye michuano ya SportsPesa kwasababu bado kuna timu za Tanzania kwenye michuano hiyo. Read more about Zahera aipelekea maumivu Simba