CCM yamtuhumu Mbatia na wenzake, yataka uchunguzi Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia. Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Moshi Vijijini kimeitaka serikali kuichunguza Taasisi ya Maendeleo Jimbo la Vunjo (VDF) kwa madai ya utakatishaji wa fedha. Read more about CCM yamtuhumu Mbatia na wenzake, yataka uchunguzi