Dkt. Bashiru atangaza kumng'oa Mbunge wa CHADEMA
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amewataka wanachama wa chama hicho kumuunga mkono Mbunge wa Bukoba Mjini (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, ili wweze kumng'oa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.