Baada ya kuwa gumzo Ghana sasa kutua kwa Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo anatarajiwa kuongoza mamia ya watanzania kupokea ndege ya kwanza kati ya ndege mbili aina ya Air-Bus A220 zilizonunuliwa na serikali ya Tanzania ambayo itawasili leo.