Waziri asimikwa kuwa 'Chief Nzunda'

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Ngailonga Hasunga (Katikati) amesimikwa Kiongozi wa Machief katika Wilaya ya Mbozi Chief Muleshwelwa Nzunda.

Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Ngailonga Hasunga (Mb), amesimikwa kuwa 'Chief Nzunda' ndani ya Jimbo lake la Vwawa, huku akiwataka wananchi kuzalisha kwa wingi mazao kwa madai ya kwamba serikali yake hailali ili kuhakikisha upatikanaji wa masoko ya uhakika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS