Mizengo Pinda ajibu kuhusu kuutaka Urais Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda . Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda amewajibu watu ambao wamekuwa wakimhoji juu ya kuhitaji nafasi ya Urais 2020 kuwa rais wa sasa John Magufuli ndiye kiongozi ambaye anafaa kwa sasa kuiongoza Tanzania. Read more about Mizengo Pinda ajibu kuhusu kuutaka Urais