Mbunge ataja sababu ya kumshinda Nyalandu 2020
Mbunge wa Singida Kaskazini, Justin Monko amedai sababu pekee itakayomfanya yeye aaminike tena na chama chake na wananchi kwa ajili ya kuwania Ubunge 2020 na kushinda tena kwenye jimbo hilo ni uadilifu na uaminifu.