Waziri akubali kuiongoza Simba dhidi ya Nkana leo

Haji Manara wa pili kutoka kushoto akiwa na viongozi wa Simba na Nkana FC.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Joseph Kakunda amekubali ombi la klabu ya Simba la kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Nkana FC kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS