Mwana FA amtaja mwandishi bora wa mashairi Afrika Mwana FA Msanii mkongwe wa Hip Hop Bongo, Mwana FA amefunguka kuwa yeye ndiye mwandishi bora zaidi wa mashairi hapa Bongo, Afrika Mashariki na ukanda mzima wa nchi za maziwa mkuu. Read more about Mwana FA amtaja mwandishi bora wa mashairi Afrika