Ajirusha kutoka gorofa ya tatu Rock City Mall
Mwanaume mmoja aitwaye Musa Ally mwenye umri wa miaka 25, ambaye ni mkazi wa mtaa wa Kiloleli wilayani Ilemela jijini Mwanza, amefariki dunia baada ya kujirusha kutoka gorofa ya 3 hadi chini katika jengo la Rocky City Mall.