Ndege binafsi yapotea na watu wawili

Mchezaji Sala ambaye alikuwa kwenye ndege hiyo.

Mshambuliaji mpya wa klabua ya Cardiff City Emiliano Sala, amepotea angani kwenye ndege binafsi jana jumatatu jioni wakati anatoka mjini Nantes, Ufaransa kuelekea Cardiff, Wales.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS