"Jeshi la Polisi mkasimamie Uchaguzi ujao"- JPM Rais Magufuli akiwa na IGP, Simon Sirro. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ameliagiza Jeshi la Polisi kuimarisha nidhamu kwenye uchaguzi ujao wa serikali za Mitaa wa mwaka 2019. Read more about "Jeshi la Polisi mkasimamie Uchaguzi ujao"- JPM