Kocha wa klabu EPL auomba uongozi Man United

Kocha mpya wa Man United, Ole Gunnar Solskjaer

Baada ya klabu ya Manchester United kumteua kocha, Ole Gunnar Solskjaer kuiongoza klabu hiyo hadi mwisho wa msimu, kocha wa klabu ya Cardiff City, Neil Warnock anadhani Solskjaer anaweza kupata mkataba wa muda mrefu ndani ya Old Trafford.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS