Viwanja, Hospitali na Hoteli zakaguliwa
Mtendaji Mkuu wa kamati ya ndani (Local Organizing Commitee), inayosimamia maandalizi ya michuano ya AFCON U17 inayotarajiwa kufanyika nchini mwaka huu, Leslie Liunda, amesema maandalizi kwa ajili ya michuano hiyo yapo katika hatua nzuri.

