Tanzania yashauriwa kuiga Congo Rais Mteule wa Congo, Felix Tshisekedi Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amezitaka asasi za kiraia, Makanisa pamoja na wanaharakati wote kuungani ili kuindoa CCM madarakani mwaka 2020 katika uchaguzi mkuu. Read more about Tanzania yashauriwa kuiga Congo