Mbunge wa 10 kujiuzulu, arejea bungeni Abdallah Mtolea, Mbunge mteule wa jimbo la Temeke. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Mgombea wa Ubunge jimbo la Temeke kupitia tiketi ya CCM, Abdallah Mtolea kuwa Mbunge wa jimbo hilo baada ya kupita bila kupingwa. Read more about Mbunge wa 10 kujiuzulu, arejea bungeni