"Hakuna upungufu wa dawa" - Bohari ya Dawa Mfumo wa ununuzi wa dawa wa pamoja kati ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD) na Taasisi ya Huduma za Afya ya Aga Khan umeelezwa kwamba utasaidia kupunguza gharama za dawa nchini Tanzania. Read more about "Hakuna upungufu wa dawa" - Bohari ya Dawa