Golikipa wa Yanga alazwa Hospital baada ya kuumia
Golikipa ya wa Yanga Ramadhani Kabwili, amelazwa katika hospitali ya Selian jijini Arusha akifanyiwa vipimo zaidi kufuatia maumivu ya nyonga aliyopata leo kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania bara dhidi ya African Lyon iliyochezwa jijini Arusha.