Pilipili ampa neno fundi wa nguo yake
Mchekeshaji Mc Pilipili ambaye hivi karibuni ali 'trend' kwenye mitandao ya kijamii kwa tukio la kutoa machozi pamoja na aina ya nguo aliyovaa siku ya kuchumbia, ametoa tamko lake kwa fundi aliyemshonea nguo hiyo iliyoleta taharuki mitandaoni,

