CHADEMA yazungumzia uchaguzi wa marudio Temeke
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeendelea na msimamo wake wa kutoshiriki chaguzi mbalimbali za marudio hapa nchini, kwa kile walichokidai kutofanyiwa haki, pamoja na kuminywa kwa demokrasia.