KCCA wapiga mkwara mzito kwa washiriki wa Tanzania
KCCA juu na Mtibwa Sugar chini
Klabu ya soka ya KCCA kutoka nchini Uganda imesema wamekuja kucheza kwaajili ya kusaka ushindi na kuwaburudisha mashabiki kwani changamoto ya Mtibwa Sugar wanaimudu hivyo haitawasumbua.