Upinzani wamvaa Msajili Vyama vya Siasa
Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania wameazimia kuanza kutekeleza azimio lao la Zanzibar kwa kumtaka Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kurejesha ratiba za vikao vya Baraza la Vyama vya Siasa ili kujadili Muswada wa marekebisho ya vyama kwa utaratibu sahihi.