Mafanikio ambayo TFF inajivunia duniani
Rais wa shirikisho la soka Tanzania (TFF), Wallace Karia mbali na kukemea tabia ya wanachama au viongozi wa soka nchini kwenda kinyume na katiba pamoja na kanuni za mpira wa miguu lakini alieleza mafanikio ya timu ya taifa ya soka la ufukweni.

