Mwana FA agonga hodi TFF
Baada ya klabu ya Simba, kukubali kipigo cha goli 5-0 siku ya jana kutoka kwa waarabu wa Misri, Shabiki lia lia wa klabu hiyo, Rapa Mwana FA amelitaka Shirikisho la mpira wa miguu nchini, TFF kutoahirisha mechi ya watani wa jadi (Simba & Yanga) kwa sababu yoyote.

