Kizimbani kwa kumbaka na kumpa Mimba mwanafunzi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Songwe, imempandisha kizimbani Ibrahimu Mshani (19), ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Ndolezi na Mfanyabiashara kwa tuhuma za kumbaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu (19), katika Shule ya Sekondari Oswe.

