Gnako afunga ndoa na mama watoto wake Kutoka kushoto ni Jux, Nikki wa pili, Gnako na mke wake, Joh Makini na Edo katika picha ya pamoja baada ya kufunga ndoa. Msanii Gnako Warawara akawa ameufunga vizuri mwaka huu 2019, baada ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake na mama watoto wake aitwaye Js Yasinta. Read more about Gnako afunga ndoa na mama watoto wake