Aunty Ezekiel akataa kumfuata Wema Sepetu Pichani ni Aunty Ezekiel akiwa na Wema Sepetu Muigizaji wa filamu nchini Aunty Ezekiel, amefunguka kuwa anapenda muonekano alionao rafiki yake Wema Sepetu, ila kwa upande wake amesema hana mpango wa kupungua kwa sababu ameridhika na jinsi alivyo. Read more about Aunty Ezekiel akataa kumfuata Wema Sepetu