Taharuki yaibuka Njombe, Diwani azungumza hiki Kitu cha ajabu Baadhi ya wananchi katika Kijiji cha Ngalanga mkoani Njombe, wamejikuta kwenye hali ya taharuki baada ya kushuhudia, kitu cha ajabu ambacho kinahusishwa na imani za kishirikina. Read more about Taharuki yaibuka Njombe, Diwani azungumza hiki