'Hatutagawa tisheti za bure 2020' - Bashiru Ally 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Bashiru Ally.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Bashiru Ally amesema chama hicho hakitatoa tisheti za bure kwa wanachama wake Uchaguzi Mkuu ujao, badala yake wanachama wajinunukie wenyewe

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS