Wazazi wamuua kwa moto Mwalimu kisa matokeo

Mkurugenzi wa Tume ya kuajiri Walimu nchini Kenya(TSC) Nancy Macharia.

Tume ya kuajiri walimu nchini Kenya (TSC), kupitia kwa Mkurugenzi wake, Nancy Macharia, imelaani kitendo cha baadhi ya wazazi kumshambulia na kumchoma moto, uliopelekea kifo cha mwalimu, Daisy Mbathe Mbaluka wa shule ya msingi Ndooni nchini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS