Amshambulia mkewe kwa kumchinja Jogoo wa X-mass
Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Peter Kadama (50), kutoka nchini Uganda, anaripotiwa kumshambulia Mke wake kwa kumpiga, baada ya kumchinja Jogoo wake aliyepanga aliwe siku ya Sikukuu ya Christmas.