'Msikubali watu wawagombanishe' - Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania washirikiane katika kuulinda na kuutetea Muungano wa Tanzania pamoja na Mapinduzi ya Zanzibar na wasiruhusu watu kuwagawa. Read more about 'Msikubali watu wawagombanishe' - Majaliwa