'Amber Lulu amevurugwa, hayupo sawa' - Nuh

Msanii wa Muziki Bongo, Nuh Mziwanda na Amber Lulu.

Msanii wa muziki Nuh Mziwanda, amesema Amber Lulu amevurugwa na akili zake hazipo sawa kwa sababu anaweza kufanya jambo lolote bila ya mtu yeyote kutarajia na likawa kubwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS