Mbowe akiri CHADEMA kuvunja Ndoa nyingi
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema amekuwa akishangazwa na watu wanaoohoji kwanini chama hicho kimekuwa kikifanyia mikutano yake katika kumbi zenye bei ghali na kusema kuwa chama hicho hakihubiri umasikini na kwamba wataendelea kuwa juu.