Mvua DSM, magari, samani vyasombwa na maji

Mvua jijini Dar es salaam.

Mvua zilizoanza kunyesha leo asubuhi ya Disemba 17, 2019, jijini Dar es salaam, zimepeleeka mafuriko katika baadhi ya maeneo ya jiji hilo na kusababisha kadhia na kero mbalimbali kwa wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS