Vurugu zaibuka kwenye kikao cha kumjadili Meya DSM Meya wa Dar es salaam Vurugu zimeibuka katika kikao cha Baraza la Madiwani wa jiji la Dar es salaam, wakati wa kikao maalum cha kujadili na kuamua hatma ya Meya wa jiji la DSM Isaya Mwita. Read more about Vurugu zaibuka kwenye kikao cha kumjadili Meya DSM