Martha adai aliyoyapitia kwenye Ndoa unaweza ukafa
Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini Martha Mwaipaja, amesema kuwa japokuwa kuna watu amewavunja Moyo baada ya yeye kuachana na mume wake, lakini yeye hajali kwa sababu anajua magumu aliyokuwa anayapitia na kwa sasa hana maamuzi yoyote juu ya kuolewa au kuwa na mahusiano mapya.