Mbunge CCM afariki, Spika Ndugai atoa neno
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amesema kuwa ofisi yake inaendelea kuratibu mipango ya mazishi ya Mbunge wa Newala Vijijini, Rashid Akbar, aliyeaga Dunia leo Januari 15, 2020, Mingoyo mkoani Lindi.

