Viongozi DARUSO wasimamishwa masomo
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, kimewasimamisha masomo baadhi ya viongozi wa Serikali ya wanafunzi wa DARUSO, akiwemo Rais Hamis Musa kwa kukiuka taratibu na sheria za chuo hicho, ikiwa ni siku chache baada ya kuipa Bodi ya Mikopo saa 72 kusikiliza mahitaji yao.