Makonda: Jana nimembembeleza Mungu Mvua isinyeshe

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kuwa jana mara baada ya mvua ya takribani masaa matano kunyesha ndani ya Jiji hilo, ilimbidi amuombe Mungu asitishe mvua hiyo kwa muda ili watu wa mabondeni wapate ahueni ya kuhama na kutafuta sehemu salama ya kuishi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS