Alichoahidi JPM kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

Rais Magufuli

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amesema kuwa Tanzania itafanya uchaguzi huru na haki ifikapo Oktoba 2020, ambapo utakuwa uchaguzi wa kuwachagua Wabunge na Madiwani pamoja na Rais.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS