Mgogoro wa USA na Iran, Tanzania itakosa mafuta?
Meneja Mkuu wa Wakala wa Serikali wa Uagizaji wa Mafuta kwa pamoja (TBPA), Erasto simon, amesema Tanzania haitaweza kuathirika kwenye suala la mafuta, ambayo yanaagizwa kutoka nchi ya Iran, katika wakati huu ambao nchi hiyo imeingia kwenye mgogoro na Marekani.

